Psalms 106:45-46

45 akwa ajili yao akakumbuka agano lake,
na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
46 bAkawafanya wahurumiwe
na wote waliowashikilia mateka.
Copyright information for SwhNEN